Mi barua nimepata, kuna wasimamizi na makarani, makarani wamegawanyika(wa dodoso fupi na refu). Mi nimechaguliwa kama msimamizi wa kata moja hivi. Tuko wasimamizi wanne. Ni tshs. 780,000, makarani wa dodoso refu ni 670,000(sh.35,000 kwa siku 1xsiku 11 za semina, siku 7 za field ni sh.250,000/= na tsh. 35000 za nauli kwa siku 7 za field). Nadhani umenielewa boss. Kama hujaelewa niPM nipe email adress nikutumie copy ya barua kwani inaeleza.
Kuna kiongozi mmoja mwepesi kidogo kwenye halmashauri tanga kaniambia kuwa ukichaguliwa kwenye dodoso refu ni 650000 na ukichaguliwa kwenye dodoso fupi ni 550000,kuanzia semina siku6 na shughuli yemyewe.
Mi barua nimepata, kuna wasimamizi na makarani, makarani wamegawanyika(wa dodoso fupi na refu). Mi nimechaguliwa kama msimamizi wa kata moja hivi. Tuko wasimamizi wanne. Ni tshs. 780,000, makarani wa dodoso refu ni 670,000(sh.35,000 kwa siku 1xsiku 11 za semina, siku 7 za field ni sh.250,000/= na tsh. 35000 za nauli kwa siku 7 za field). Nadhani umenielewa boss. Kama hujaelewa niPM nipe email adress nikutumie copy ya barua kwani inaeleza.
Ivi izi nauli kuna ambao wanataka kuchakachua watu hawatoi
Sasa kwenye retirement kama haujawapa ela ya nauli iyo ela utasema imetumika kufanya nini!
Wizi wa kijinga sana huu kama kuna wahusika humu habari ndo iyo wapeni watu haki yao au kwa sababu ni walimu ndo mnataka kuwazika
Akili za kuambiwa, changanya na zako...
Hivi makarani ni 100 tu au? Ukiwa na akili angalau kidogo utagundua serikali hii ya kwetu haiwezi kuwalipa kiasi hicho cha fedha. Ngoja nikwambie kwa nini:
Kata ya Makuburi (Ubungo) ina mitaa mitano na makarani 250, sasa jenga picha kuwa wilaya ya kinondoni ina kata 19. 19 x 250 x 550,000 = 2,612,500,000
Sasa hiyo ni kuwalipa makarani tu, bado vifaa, usafiri na gharama zingine za usimamizi na hapo nimechukulia kiwango cha chini cha taarifa zako. Zidisha mara wilaya zote za nchi hii halafu utapata majibu.
Acheni kudanganyana, karani wa sensa analipwa 15,000 kwa siku
jamani mbona ela ni nyingi sana,mbona amna huruma na nchi yenu,laki saba naa kwa kichwa kimoja,je nchi nza kuna wasimamizi na makarani wangapi,na nyie mnakubali kupokea tu amna ata uchungu,mmekaa tu kulalamika na posho,za wabunge, pamoja na posho za viongozi wengine hili la,kwenu mbona mnakaa kimya,??nyie wa wapi?