Malipo ya sensa

Hapa umeeleweka mkuu,upo kata ipi?
 
mkuu 2nashukuru 2mekupata ila ujaeleza wale wa dodoso fupi wanalipwaje mkuu 2weke waz mwenye kielelezo thabiti.
 
mkuu 2nashukuru 2mekupata ila ujaeleza wale wa dodoso fupi wanalipwaje mkuu 2weke waz mwenye kielelezo thabiti.
 
mkuu 2nashukuru 2mekupata ila
ujaeleza wale wa dodoso fupi wanalipwaje mkuu 2weke waz mwenye
kielelezo thabiti.

Dodoso fupi itakuwa chini ya hiyo 780,000 kwa vyovyote!
 
Dodoso fupi itakuwa chini ya hiyo 780,000 kwa vyovyote!

kujibu maswali usiyoyajua si lazima,sasa hapo ndo umeongea nini? Watu wanataka majibu kutokana na vielelezo walivyonavyo wenzao.Wewe wa wapi?!
 
Haya PM nitumie kwenye Email yangu....Steki1989@yahoo.com
 
Kiongoz plz naomba unipe mchanganuo kamili kuhusu malipo kati ya dodoso ndefu na fupi. deusraymond@gmail.com
 
nimechaguliwa nimeambiwa niend kwny usail j5 vp kuna mchujo tena.
 
Ama kweli ndo maana tumekosa nafasi ya kuwa makaran,
ila kujuana kwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…