Kama ni dokezo kutoka kwa Daktari sawa anatakiwa alipwe lakini kama aliomba mwenyewe sahau na shukuru kaweza pata uhamisho! labda kama ingekuwa enzi zetu angepata kwani enzi hizo unaweza tolewa Magomeni na kupelekwa Manzese na unapata Disturbance allowance siku saba pamoja na mkopo wa kuanzia maisha