Nilisoma kichwa cha habari kwenye gazeti moja kwamba hela za wastaafu zimechotwa na Mwigulu kutoka hazina! Labda ni kweli?Imekuwa kama kawaida malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa mfuko wa PSSSF yanakuwa tayari kila tarehe 24 ya mwezi...
Sasa kama pension imelipwa huyu mdau mbona analalamika? Watu wengine wakoje lakini?Pension imeshalipwa.
Hilo la makato ya mikopo naamini halina mabadiliko makubwa
Hivi siku hizi kuna makato ya wastaafu kupitia pensheni? Wanakopesha mwisho muda gani? Na ni benki zipi?Imekuwa kama kawaida malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa mfuko wa PSSSF yanakuwa tayari kila tarehe 24 ya mwezi...
Inawezekana haukujihakiki, kama ni hivyo nenda kajihakiki na malipo mwisho wa mwezi wa tisa.Imekuwa kama kawaida malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa mfuko wa PSSSF yanakuwa tayari kila tarehe 24 ya mwezi...
Imekuwa kama kawaida malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa mfuko wa PSSSF yanakuwa tayari kila tarehe 24 ya mwezi...
Nilisoma kichwa cha habari kwenye gazeti moja kwamba hela za wastaafu zimechotwa na Mwigulu kutoka hazina! Labda ni kweli?
Nilisoma kichwa cha habari kwenye gazeti moja kwamba hela za wastaafu zimechotwa na Mwigulu kutoka hazina! Labda ni kweli?
Sasa kama pension imelipwa huyu mdau mbona analalamika? Watu wengine wakoje lakini?

Pesa za PSSSF syo za hazina, kulikopigwa ni hazina kwa wale wanaolipwa na hazina.Imekuwa kama kawaida malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa mfuko wa PSSSF yanakuwa tayari kila tarehe 24 ya mwezi...
imelipwaImekuwa kama kawaida malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa mfuko wa PSSSF yanakuwa tayari kila tarehe 24 ya mwezi. Mfuko pia unatuma ujumbe(sms) unaompa taarifa mstaafu kuwa malipo hayo yameshatumwa benki.
Hii ni tofauti na mwezi huu wa Agosti ambapo malipo hayafanyika na taarifa iliyozoeleka pia haijatumwa. Je, kuna tatizo au ndiyo fedha za wastaafu zilizopigwa kama ilivyoripotiwa kwenye vyombo vya habari hivi karibuni? Au je, kuna uhusiano na tozo mpya za mabenki?
Idadi kubwa ya wastaafu wana marejesho ya mikopo ya benki yanayokatwa moja kwa moja kupitia mafao yao ya kila mwezi. Kama ni kweli kuna tatizo je, mabenki yatalichukuliaje jambo hili ukizingatia kuwa tatizo halijasababishwa na wateja wao?
Mkuu na wewe unadoea pesa za urithi za mzaziimelipwa
Imekuwa kama kawaida malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa mfuko wa PSSSF yanakuwa tayari kila tarehe 24 ya mwezi. Mfuko pia unatuma ujumbe(sms) unaompa taarifa mstaafu kuwa malipo hayo yameshatumwa benki.