Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
sio kweli, unalipwa huo mwezi. Mimi ishanitokeame nnavyojua ukitoa notisi ya kuacha kazi unalipa mshahara mmoja yaani unafanyakazi mwezi mmoja bure.
Wapo wengi. Hapo ndo mahali pa kujua zaidi.Hahahaha......kumbe tunaojiandaa kutupa kalai tupo wengi!
Hapo sasa sijuina endapo utakuwa na yale madeni ya mikopo kutoka mabenki?!
Sawa. Swali kuu Hapo Je! Wakati unatumikia Notisi uliyoandika ya kusitisha ajira; mshahara, overtime, na kiinua mgongo utalipwa?Endapo utakua na Madeni unayodaiwa na Benki ama taasisi yoyote ya Kifedha. Pia inategemea MU/Memorundum of Understanding wa Taasisi iliyokukopesha inasemaje. Mostly suala la Mtumishi kuacha kazi ama kufukuzwa nk MIKOPO MINGI IMEKATIWA BIMA NA BENKI HUSIKA, na hiyo bima uliilipia pindi unakopa hua inawekwa kwenye gharama zinazoitwa Loan Processing Fee. So endapo ajira yako ITASITA kwa sababu zozote Benki italipwa na Bima deni la Mkopo wako. Ngoja wataalam wa Benki waje waongezee. Over
Mfumo wa ajira inawasumbua waajiriwa wengi. Maana mishahara ni kidogo sana.watu wanasubiria mwez wa pili mshahara uongozeke au waaamshe
Naomba anaejua aniambie jibu ndugu zanguHabari wanajukwaa.
Kulingana na kichwa cha post yangu Hapo juu Naomba kufahamu; baada ya mfanyakazi kuandika notisi ya siku28 kwa bosi wake ya kusitisha ajira. Je! Anaweza kulipwa mshahara wa huo mwezi anaotumikia notisi? Je! Overtime zake atalipwa? Na Je! Kiinua mgongo atalipwa?
Kwa wanaojua hili tusaidiane.
Shukran.