Mkuu, ulichowaza sicho ulichoandika......Kama ulifukuzwa kazi sahau ila kama ulufukuzwa utapewa .kukuambia uje ni kawaida yao kukuandaa kisaikolojia ila kukupa itajambo lingine
Hata kama umefungua mkuu, wamekufungulisha tu ili kupunguza makelele. Hawalipi siku hizi hii kituMkuu nimeshafungua official claims ina maana bado watanizungusha tu au maana sijaelewa
.....unasomeka kweli !?Kama ulifukuzwa kazi sahau ila kama ulufukuzwa utapewa .kukuambia uje ni kawaida yao kukuandaa kisaikolojia ila kukupa itajambo lingine
....kulipwa utalipwa, ila hizo 90 days zidisha mara nne ! .....tena baada ya kuwa mshari flani hiviMkuu nimeshafungua official claims ina maana bado watanizungusha tu au maana sijaelewa
Mkuu,usipoteze muda wako bure.Mkuu nimeshafungua official claims ina maana bado watanizungusha tu au maana sijaelewa
mkuu kuna mtu namfahamu alifungua toka mwaka jana NSSF hadi leo ana miezi 9 kila akienda kalenda, nadhani wanavuta tu muda ifike sheria ipingwe nyundo kabisa, mwenyewe nilikuwa PSPF nimeshasahau kabisa.Mkuu nimeshafungua official claims ina maana bado watanizungusha tu au maana sijaelewa
Mkuu kwa jinsi nilivyofatilia taarifa za hili fao since early last year (personal follow up ya conversations mbalimbali), ni kwamba hii kitu hawatoi tena, nilimwuliza jamaa mmoja wa nssf akaniambia hiyo kitu haipo tena na hata ukistaafu unapewa amount ndogo tu ya mkupuo (3 months gross) then utapewa ndo ndo ndo 80% ya salary mpaka ukifa itastop, kwahiyo mkuu, ikifika siku nenda, al muhimu jiandae kisaikolojiaMkuu nimeshafungua official claims ina maana bado watanizungusha tu au maana sijaelewa
Mkuu cdhani kama wanalipa tena, mie nilifika ofsini kwao wakaniambia mpaka wapewe go on ya kutoa kwasasa imesitishwa. Kwahiyo mpaka ustaafu, na ukistaafu hupewi yote, unapewa 3Xgross salary then wanakupa kidogo kidogo kama pensionHata kama umefungua mkuu, wamekufungulisha tu ili kupunguza makelele. Hawalipi siku hizi hii kitu
Twafaa Kazi nifanye mie pesa achukue yeye tena kwa nguvu.Mkuu kwa jinsi nilivyofatilia taarifa za hili fao since early last year (personal follow up ya conversations mbalimbali), ni kwamba hii kitu hawatoi tena, nilimwuliza jamaa mmoja wa nssf akaniambia hiyo kitu haipo tena na hata ukistaafu unapewa amount ndogo tu ya mkupuo (3 months gross) then utapewa ndo ndo ndo 80% ya salary mpaka ukifa itastop, kwahiyo mkuu, ikifika siku nenda, al muhimu jiandae kisaikolojia
Mkuu cdhani kama wanalipa tena, mie nilifika ofsini kwao wakaniambia mpaka wapewe go on ya kutoa kwasasa imesitishwa. Kwahiyo mpaka ustaafu, na ukistaafu hupewi yote, unapewa 3Xgross salary then wanakupa kidogo kidogo kama pension
Ndugu yangu nashukuru kwa hili jibu lako,ila nilitaka kufahamu zaidi kwa wale ambao walishafungua madai maana mimi yangu nilitarajia ningelipwa ndani ya mwezi lakini sasa nimeambiwa miezi mitatu.Je kuna mtu humu ambaye alishafanikiwa kufungua na kulipwa ndani ya huo mwezi mmoja?Mafao ya NSSF yaliyo chini ya 15mil kama sikosei unalipwa ndani ya 30 days kwa sababu yana kuwa processed kwenye Branch husika,ila Zaidi ya hapo mpaka yawe approved Head office ndio maana ya hizo 90 days.
changamoto iliyo mbele yako ni kwamba walisitisha kutoa hiyo ya Fao la kujitoa pending to sheria mpya inayokuja.Sheria mpya inayokuja nadhani inaweza pitishwa bunge la January hii.
Sijaipata ila kwa fununu ni kwamba unalipwa ka 38% at a go then nyingine kidogo kidogo mpaka pale utakapotwaliwa na bwana.