Malipo ya Dowans na JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya Dowans na JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PrN-kazi, Feb 6, 2011.

 1. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivi kuna yeyote anayeweza kukubaliana na maneno ya JK aliyoyatoa jana kwa kusema eti na yeye Hakubaliani kabisa malipo kufanyika dhidi ya Dowans? Cha kujiuliza maneno aliyoyatoa Chiligati yalikua yanaendana na kauli hiyo? Mbona alikua ana hamaissha malipo yafanyike fasta ili kuonyesha kwamba serikali inaheshimu uhamuzi wa mahakama. Kwakweli sielewi hapo wataalamu.
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mbayuwayu
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Jamaa ni fundi wa kuwatoa wenzie kafara
  Kauli ya katiba alimtoa kafara Celina Kombani na Mwanasheria Mkuu, yeye baadae akaja akasema anaandaa mchakato wa katiba
  issue ya Dowanz kawatoa kafara Waziri Ngerja na Mwanasheria Mkuu, jana kawageuka tena
   
Loading...