Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 267
- 108
Hellw jf,nina swali.Ni kweli TAESA huwa wanalipa watu internship?
haahha ni hatar mkuuWanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa
sema wana utapelWanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa
Km unafanya kazi ya Ulinzi wa GetiWanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa
hahaha dahhKm unafanya kazi ya Ulinzi wa Geti