mkuu ukiwa nje na ndani tofauti ipo wapi? malipo ni malipo popote ulipo ukiwa online. Sema jamaa anataka kufahamu je inawezekana kwa mteja aliye dar es salaam kufanya malipo hayo?
Ndio
waweza kufanya malipo online kupitia MPESA/ TIGO PESA
Iwapo utatumia huduma yangu ya PAY4ME (Thrird Part) ili kufanikisha muamala wako
Maelezo zaidi hapa: www.bit.ly/101buy4me
KARIBU