Kwanza nikupongeze mkuu kwa kuwa bado upo nasi humu, nilidhani mzee umetupa jongoo na mti wake. Kaka nilitaka kukuomba tuwafanye vijana wetu wawe na moyo wa uzalendo (kitaifa) kwanza kwa kuwapa mifano ya hao mashujaa wetu walioiletea sifa nchi yetu halafu ndio nafsi yao iwe ya pili kwa maana ya kucheza soka nje ya nchi. Mkuu, wale vijana walinishangaza kwa kumfahamu huyo Vincet Kompany kuliko kama ungewauliza kama wanamfahamu japo Leodgard Tenga tu na sikusema hawamfahamu. Unajitahidi hata hivo ila punguza media kwani hawa wanakujenga na kukuporomoa mara moja. Jaribu kumfanya msemaji wa TFF azoeleke. Kazi njema kaka.Jacobus with due respects kwa hao ma legend uliowataja ni vyema tukakubaliana kuwa mpira wetu wa leo ultimate aspiration kwa vijana wetu sio kuchezea Simba (Kibaden),Yanga (Mwalusako) au Pan afrika (Tenga).Hao uliowataja walicheza mpira kwa mapenzi yao kwa mpira.Leo hii mpira ni ajira kubwa sana kwa wenye vipaji,wanaokubali kufundishika na kujituma.Zawadi kubwa wanayoweza kuipata ni kuwa wachezaji wa kulipwa kwenye vilabu vikubwa duniani na wakijaliwa wacheze fainali za AFCON na World cup.Vijana wetu tuwasukume wajenge ndoto hizo na sio kuota ndoto za kumalizia mpira wao Tanzania.Vicent Kompany ni mfano mzuri wa vijana ambao wamecheza mpira kuanzia utotoni hadi Premier League na bado akasoma hadi kupata shahada ya chuo kikuu.Umesema vijana wa Mwanza hawamjui si kweli walisema wanamjua vizuri tu.
Jacobus with due respects kwa hao ma legend uliowataja ni vyema tukakubaliana kuwa mpira wetu wa leo ultimate aspiration kwa vijana wetu sio kuchezea Simba (Kibaden),Yanga (Mwalusako) au Pan afrika (Tenga).Hao uliowataja walicheza mpira kwa mapenzi yao kwa mpira.Leo hii mpira ni ajira kubwa sana kwa wenye vipaji,wanaokubali kufundishika na kujituma.Zawadi kubwa wanayoweza kuipata ni kuwa wachezaji wa kulipwa kwenye vilabu vikubwa duniani na wakijaliwa wacheze fainali za AFCON na World cup.Vijana wetu tuwasukume wajenge ndoto hizo na sio kuota ndoto za kumalizia mpira wao Tanzania.Vicent Kompany ni mfano mzuri wa vijana ambao wamecheza mpira kuanzia utotoni hadi Premier League na bado akasoma hadi kupata shahada ya chuo kikuu.Umesema vijana wa Mwanza hawamjui si kweli walisema wanamjua vizuri tu.
Mkuu, mie hukereka mno hasa media zetu kwa kung'ang'ania kutueleza habari za England hata za kipuuzi na kuacha habari za hapa nchini na bara letu kwanza. Juzi Azam FC walicheza mechi ya kirafiki na Mtibwa basi RFA hawakutueleza matokeo ya mechi hiyo badala yake wakatueleza habari za usajiri wa mchezaji wa Chelsea kwenda ManU tena kwa poooooooozi.Teuzi zako za kukusaidia kuongoza TFF zina harufu ya ukanda na ukabila LKN unataka tuanze kuongelea kuhusu akina Steven Gerald wasomi wenye degree za MBA toka chuo bora UK cha Liverpool badala ya kuwaongelea akina Mrisho Ngassa wasio tayarishwa lolote kupata mafanikio ktk utawala wako?
Hizi sijui kamati za SOKA la UFUKWENI zina tija gani?Ndiyo uliwaomba kura wajumbe ulete madudu yako haya?
Malinzi umeshindwa tayari
Ki vipi mkuu, au kwa kuwa kila kitu (soka) kwanza ni England?
Inakera sana mkuu. Pamoja na kuwa vilabu hivo siasa imejaa lakini ni utumwa kuthamini cha nje (tena England!!!!!!!!!!!!!!!!). Ndio maana nimemuasa ndugu Malinzi ajijengee utamaduni wa kuthamini vyetu na mifano mbona mingi tu kwa ajili ya kuwarithisha vijana wetu.kutokana na ubabaishaji wa viongozi,siku hizi ukimwambia mtoto ukutajie first eleven ya simba au yanga atashindwa lakini ya man,aseno,chesii,mancity ashindwi
Mkuu, mie hukereka mno hasa media zetu kwa kung'ang'ania kutueleza habari za England hata za kipuuzi na kuacha habari za hapa nchini na bara letu kwanza. Juzi Azam FC walicheza mechi ya kirafiki na Mtibwa basi RFA hawakutueleza matokeo ya mechi hiyo badala yake wakatueleza habari za usajiri wa mchezaji wa Chelsea kwenda ManU tena kwa poooooooozi.
Aksante kwa kutoa dukuduku japo huna uhakika.Jua Kuwa RFA Ni Private Media Wanaangalia Habari Yenye Ushawishi, Uzalendo Unaanzishwa Na Sisi Sio Redio, Redio Inaangali Tunapendezewa Na Habari Gan, Na Sio Tanzania Tu EPL Inafuatiliwa Kwa Ukaribu Duniani Kote
Inakera sana mkuu. Pamoja na kuwa vilabu hivo siasa imejaa lakini ni utumwa kuthamini cha nje (tena England!!!!!!!!!!!!!!!!). Ndio maana nimemuasa ndugu Malinzi ajijengee utamaduni wa kuthamini vyetu na mifano mbona mingi tu kwa ajili ya kuwarithisha vijana wetu.
Malafyale:Teuzi zako za kukusaidia kuongoza TFF zina harufu ya ukanda na ukabila LKN unataka tuanze kuongelea kuhusu akina Steven Gerald wasomi wenye degree za MBA toka chuo bora UK cha Liverpool badala ya kuwaongelea akina Mrisho Ngassa wasio tayarishwa lolote kupata mafanikio ktk utawala wako?
Hizi sijui kamati za SOKA la UFUKWENI zina tija gani?Ndiyo uliwaomba kura wajumbe ulete madudu yako haya?
Malinzi umeshindwa tayari
Malafyale:
1. La teuzi mbali mbali nilikwisha liongelea,nakuomba tuliweke pembeni tuangalie ajenda ya mpira.
2. Tarehe 04 january kamati yetu ya utendaji itatimiza siku 100 madarakani,nitaueleza umma wa wapenda mpira Tanzania nini tumefanya ndani ya siku 100 na tunadhamiria kufanya nini siku za usoni.
3. Changamoto kubwa ni kujenga misinga ya kuzalisha kina Ngassa wengi kupitia grassroot,tunaandaa mikakati hiyo.
4. beach soccer ni sehemu muhimu ya burudani ya mpira duniani,tunaandaa utaratibu wa kusajili vilabu na kuendeleza mchezo huu ili na sisi tucheze fainali za dunia za beach soccer kama wenzetu wa afrka kama nigeria na tunisia.
Tusikate tamma,lugha za malinzi umeshindwa tayari zi lugha chanya,na ukisema malinzi kashindwa sema kashindwa katika lipi.
Salaam aleikum.
Jamal
thanks Mamndenyi,nimeparekebisha mama , ni 4th february.Hiyo redi imekaa sawa kweli?
thanks Mamndenyi,nimeparekebisha mama , ni 4th february.