Mjomba wa taifa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 231
- 161
Namheshimu Jamal Malinzi ambae tumesoma nae hapo Ilboru siku za nyuma, ambae ni mtaalam aliyetalamikiwa na taaluma ya uhandisi,kama alienda kwa Lowasa kumjulia hali maana yake afya yake ni mgogoro kwa hilo sina neno, ila kama ilienda sijui kumpa mikakati yan TFF kama rais ajae ninasikitika kumwambia hapo amechemsha, tena amachemka kabisaaaaaa.
Mwenye macho haambiwi tazama,mwenye masikio haambiwi asiki!
Aimini nawaambieni,the next President of Tz ni EL
No problem at all.
Lowassa ni mtanzania, mbunge wa Monduli na Mdau wa Michezo. Hakuna shida yoyote Malinzi kuongea mipango ya TFF na Lowassa, mipango ya TFF sio siri na mdau yoyote wa Michezo anaweza kushirikishwa.
Lowassa amekuwa 'akisaidia' mambo mengi ya kijamii, hivyo ni nafasi nzuri kwa Jamal Malinzi kuitumia kumshawishi Lowassa 'kuisadia' michezo pia.
It is good tactic and stratergy kwa Malinzi kama amefanya hivyo kwa Lowassa kuliko kwenda kuongea na watu kama JK na Nkamia ambao kutwa ni kuropoka lakini utekelezaji ni sifuri.

mwambie aje aongee na mimi basi kama mdau wa michezo.
no doubt EL is the upcoming president of tz. look at how authoritative he appears in the photo.kwa malinzi inaonekana wazi kabisa mtu anayezungumza nae ni mwenye mamlaka na nguvu kubwa.
Maswali:
1. Kwanini Malinzi amueleze Lowasa mipango ya TFF Lowasa na si Waziri wa Michezo?
2. Kuna uwezekano Malinzi ameona mbali kule October, 2015?
3. Malinzi haogopi nguvu ya Nape na Mangula?
4. Baada ya kumweleza mikakati, Je, Lowasa alimuahidi nini Malinzi?