Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Hahahaha hata uje na mashujaa bendi!!!!!!! hahaha
stay tuned
Hiyo picha ya kati ni Honey Faith
Kamfumania mumewe anaenda kumpa kichapo!!!!!
Jamani mie kila kibaya ni changu.Ama kweli tabu sana kushare mume ila si nimekuachia mbona unanisumbu?
Rogieeeeee
Njooo huku ujione!!!...
nawasha moto Bishop Hiluka alimaanisha mimi?
ndio lol
Hahahahahahaaaaaa fyoooooooooo !!!!!
eti ulikuwa wapigana na nani???
Hahaha afu wewe !!! Yaani unamsikiliza miss neddy kakulisha tango pori tu !!! Sihusiki kabisaaaaa ...
mi nataka kuja kuamulia...ngoja basi nikuache udundweee kama hautaki kusema!!!
Hahahhaaahaa wee hapo hata mawe yatatumika hatoki mtu ukija na wewe unadundwa vilevile...
mmmh!!! nani huyo wa kunidunda hapo....