Mungu na amnusuru na Hao watesi!Hakuiba ili auze
Hakuiba ili alewe
Hakuiba ili amkomoe mwenye shamba
Hakuiba ili akanunue kitenge
Aliiba ili awaokoe wanae wawili ambao tegemeo laonla pekee ni mama yao
Namuomba Mungu hii picha wanae wasiione watakapoanza kujitambua, kama mimi nisiemfahamu nimeumia itakuwaje kwa wanae??
Hatoi chozi kwa sababu amepigwa na kudhalilishwa
Anatoa chozi kwa sababu matumani ya watoto wake kula wameyeyuka tayari na mbaya zaidi kipigo hakimuumizi yeye bali kinaumiza matumbo ya wanae ambayo hayajapata chakula kwa masaa kadhaa.
My Country People, kuna watu wanatuibia mabilioni ya fedha ili wanunue magari na kupanda ndege 😥😥😥 Why this woman???
Utu uko wapi ndugu zangu, sawa huenda tabia zake kwenye jamii sio njema, huenda ni malaya, huenda ni mlevi
Je, tuwaadhibu wanae kwa makosa ya mama yao. Tule nae kwa upendo kisha tumpe jembe na shamba akalime kwa ajili ya wanae
Hao waliompiga na kumdhalilisha kesho tuko nao kanisani/misikitini au kwenye kahawa tunaipenda serikali kwa kumnyima haki Tundu Lissu, Soka, Mdude lakini sisi tunaiona tuko salama licha ya kumnyima haki mtoto wa mwaka mmoja.
Nikiandika naweza nisimalize ila hii picha najuta kuiona leo, ØffMooD
Hao waliompiga na kumdhalilisha kesho tuko nao kanisani/misikitini au kwenye kahawa tunaipenda serikali kwa kumnyima haki Tundu Lissu, Soka, Mdude lakini sisi tunaiona tuko salama licha ya kumnyima haki mtoto wa mwaka mmoja😭😭😭Hakuiba ili auze