K Kivangao New Member Joined Jul 8, 2026 Posts 2 Reaction score 0 Sep 6, 2026 #1 Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, nadai malimbikizo ya mshahara wa 2024 na nikishajaza form nikaambiwa imetumwa hazina lakini ni mwaka wa pili Toka niambiwe hivo mpaka Leo sijalipwa, hii inamaanisha Nini?
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, nadai malimbikizo ya mshahara wa 2024 na nikishajaza form nikaambiwa imetumwa hazina lakini ni mwaka wa pili Toka niambiwe hivo mpaka Leo sijalipwa, hii inamaanisha Nini?