obama kala hasara yaani mitoto ya kike tu
ha ha ha ha wakiolewa watamlipa sana hapo!
Ndo huyu kijana wa kenya mwanasheria anaetaka amuoe huyo mkubwa.eti akimuoa atakuja kuishi nae kenya na kumfundisha kupika ugali na kuchunga ng'ombe!nlibak nacheka tu!yani amtoe white house amlete bush

ha ha ha huyo alikuwa anatafuta kick tu hana lolote
Sasha sura ya peke yake ingekua bongo wangesema sio wa Obama kasingiziwa
obama kala hasara yaani mitoto ya kike tu
Hivi wewe ulitokana na atomic bombs?
Familia bora na yenye furaha.