Mali ya Mjerumani

Sisi huku zimefukuliwa sii Mali ya mjerumani ni Mali yetu wenyewe ila Mkulu anasema ni Germany kaweka bicon za 1905 ni za relwe au mjeruman wajuzi nijuzeni hapo ni ktk sheria IPI yetu au German?
Wap huko
 
Ukichimba zaidi hapo chini lazima ukutane na joka kubwa ambalo ndio mlinzi na kama haupo vizuri waambie nduguzo waandae bajeti ya matanga mapema
 
Ukitaka kufa kifo cha majini jaribu kuchimba
Nikibahatika kufumania site ya mjerumani, nitashusha bonge la maombi nadhani hata uchimbaji utakuwa mwepesi!
 
Mali za mjerumani,ni Aina ya utapeli tu
Watu wengi washalizwa....
Swali rahisi kwanini hao wenye Mali hizo wasiende kuuza wakapige hyo mabilions.....
Alafu waathirika wakubwa ni wale wanaopata viunua mgongo kazini.....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…