The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,177
- 102,950
Wakuu,mada hii ni maalum kwa wazazi au walezi wa watoto,changamoto tunazopitia katika malezi ya watoto na jinsi ya kukabiliana nazo,wote tunatambua kua malezi ya watoto ni muhimu na watoto ndio taifa la kesho,maadili mema,utambuzi wa mambo na mengineyo,mtoto huanza kujifundisha kupitia watu waliomzunguka katika makuzi yake na hasa wazazi/walezi wake,kwani ndio anakua nao kwa muda mwingi zaidi tangu kuzaliwa kwake,
Hivyo basi,mada hii ni vizuri tukashare matatizo yanayotukabili katika malezi ya watoto na jinsi ya kukabiliana nayo,mfano mtoto kutokupenda kwenda shule,kutokupenda kuchanganyika na wenzake,kutokupenda kula,uwezo wake kimasomo na mengineyo,
Kama mzazi/mlezi yeyote ambaye amewahi kukumbana na tatizo la kimalezi kisha akalitatua na kufanikiwa,ni vizuri akashare nasi hapa ili wengine wajifundishe kupitia kwake,kama mzazi/mlezi ana changamoto katika malezi ya watoto,basi ataweka changamoto anazopitia ili wataalamu waje na kutoa solution au njia za kumaliza/kupunguza tatizo hilo,
Karibuni sana.