Wazazi wa miaka hii hawatimizi majukumu yao ipasavyo katiki malezi ya Watoto wao hii inatokana na ubize uliopo kwa wazazi na kushindwa kuwa karibu na watoto wao .
Sasa tatizo hili kwa namna moja ama nyingine inafanya kuporomoka kwa maadili katika Jamii watoto kutowaheshimu wazazi wao,au wakubwa wao.
Watoto wanashindwa kujua thamani ya wazazi wao maana utakuta mtoto tangu alipozaliwa amekua akihudumiwa na house girl tu then mtoto anapoanza kusoma basi atapelekwa boarding hilo ni tatizo.
Jamani kwa mlio katika ndoa kuweni karibu na watoto wenu tafadhali.