Malengo ya kudai uhuru ndio haya?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,688
149,903
Haya ni makazi ya muda ya mama huyu na mapacha wake wawili pamoja na mtoto wa dada yake baada ya bomoabomoa inayoendelea jijini Dar-es-salaam.

Picha kwa hisani ya mwananchi online.
wakazi.jpg
 
Last edited:
Jamani Magufuli kama hajaingilia kati atajiharibia sana mbele ya wananchi hawa wa chini. Au watu wanamfanyia sabotage makusudi bila ya yeye mwenyewe kujua? Kwanini ghafla hii bomoabomoa izuke? Walikuwa wapi siku zote hizo?
Ile shamrashamra ya kuipinga rushwa naona sote sasa tumeisahau na tunalia na hawa ndugu zetu wanaoteseka. Faida gani kuondoa rushwa nchini kama mamia ya wananchi wetu wanalala kwenye mitaro ya maji machafu baada ya nyumba zao kuvunjwa kiholela?
Anyway, yetu macho. Ndio tunaisoma namba sasa!
Sio tulisema nchi haiendi bila ya Dictator! Basi sasa tumempata!
 
Tanzania ni kubwa sana

Tanzania ni kubwa sana. Na hii sheria sio ya JPM, yeye ameingia na kuikuta kwa hiyo anatekeleza yaliyo kwenye sheria. Alikula kiapo kufuata sheria ya nchi ya tanzania. Kosa liko wapi hapo. Kama mnataka watu wakae mabondeni badilisheni sheria.
 
It's not a question ya kutaka watu waishi mabondeni. The question is: the whole process was unplanned. Vipi watu wanarudi makazini wanakutaka nyumba zao zimebomolewa? Hivyo hivi ndivyo tunavyotaka nchi iende? Kila mtu anajua mashaka ya mvua za vuli, lakini haya ni mashaka makubwa zaidi. Kwanini watu wasipewe habari vizuri? Kwanini watu hawasaidiwi huko walikopewa viwanja? Mtu keshajenaga nyumba yake na ghafla unamueleza hama kajenge nyengine kwengine, hivyo maisha ya DSM ni rahisi hivyo? Let's not be STUPID!!!! Hawa ni watu wetu wenyewe. Mambo haya ilikuwa yafanywe na mkoloni na sio serikali yetu wenyewe. Ikiwa hivi ndivyo tutakavyoendeshana, yaani kufuata sheria bila ya utu basi ndio namba yenyewe hio tunaisoma!
Huu sio ufuataji wa sheria, huu ni ujinga wa watu wachache wasioitakia kheri nchi hii!!!
 
Huu sio ufuataji wa sharia, huu ni ujinga!!!
Hivi ww ushasikia mara ngapi serikali inasema watu wa mabondeni wahame. Nimesikia hii tangia enzi ya mkapa sanasana wakati kulitokea mafuriko mabaya mozambique watu wengi wakafa. Serikali ya sasa siyo ya kuambiana tena kwani wameshaambia sasa ni action. Unavyozidi kuwapa muda wanazidi kujenga mabondeni. Jeulize tangu mkapa aondoke nyumba ngapi zaidi zimejengwa mabondeni na fikra wanajua wanatakiwa kuondoka huko.
 
It's not a question ya kutaka watu waishi mabondeni. The question is: the whole process was unplanned. Vipi watu wanarudi makazini wanakutaka nyumba zao zimebomolewa? Hivyo hivi ndivyo tunavyotaka nchi iende? Kila mtu anajua mashaka ya mvua za vuli, lakini haya ni mashaka makubwa zaidi. Kwanini watu wasipewe habari vizuri? Kwanini watu hawasaidiwi huko walikopewa viwanja? Mtu keshajenaga nyumba yake na ghafla unamueleza hama kajenge nyengine kwengine, hivyo maisha ya DSM ni rahisi hivyo? Let's not be STUPID!!!! Hawa ni watu wetu wenyewe. Mambo haya ilikuwa yafanywe na mkoloni na sio serikali yetu wenyewe. Ikiwa hivi ndivyo tutakavyoendeshana, yaani kufuata sheria bila ya utu basi ndio namba yenyewe hio tunaisoma!
Huu sio ufuataji wa sheria, huu ni ujinga wa watu wachache wasioitakia kheri nchi hii!!!
wapewe taarifa mara ngapi? tatizo la watanzania ni kuamini kwamba kila kiongozi ni kama walewale kumbe huyu aliyekuja yuko serious mwanzo mwisho. mimi niwahakikishie ninyi mnao sema ni nguvu ya soda mtachoka kusubiri nguvu ipungue.
 
Baada ya kugundua kuna watu walipewa vibali ndio leo wanakumbuka kusitisha ili wenye nyaraka waziwasilishe na kwamba watalipwa fidia.Ina maana wakati wanaanza hiyo bomoabomoa haya hawakuyajua?Subirini kusikia serikali inashitakiwa na kulazikima kulipa watu fidia za mabilioni.
 
Tanzania ni kubwa sana

Tanzania ni kubwa sana. Na hii sheria sio ya JPM, yeye ameingia na kuikuta kwa hiyo anatekeleza yaliyo kwenye sheria. Alikula kiapo kufuata sheria ya nchi ya tanzania. Kosa liko wapi hapo. Kama mnataka watu wakae mabondeni badilisheni sheria.
Mkuu unakumbuka kipindi cha kikwete waliahidiwa kuhamishwa Mwa...pande?Wape muda na notice mkuu kama walivyoambiwa watu wa Arusha. Hakuna anayependa watu wafe, kumbuka serikali ilikusanya kodi ya makazi kutoka kwao, wakawapelekea maji na umeme. Huwezi kumpa 14 days ahame wakati kaishi hapo miaka 20.Inasemekana zaidi ya watu 30 wamefariki kwa presha tafsiri anawaza mpaka akili inafika mwisho kutafuta alternative. Tuwape muda tuwaondoe taratibu
 
Back
Top Bottom