huyu mtoto wamemuweza sasa hii???maana alianza kuwaogopesha sana na akawa anaonekana hakamatiki,nadhani huu ni mfano kwa ccm na lowassa wao wanavtomuendekeza mpaka anaonekana ni mkubwa kuliko chama,malema pia alionekana hivyo lakini kwa kuwa ANC walipiga moyo konde wakasema potelea mbali liwalo na liwe acha chama kiwagawanyika lakini kuendelea kukaa na hiki kimeta.