ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Inawezekana pia. Ila mashine ntauza zote tatu sio mbilivip nikihitaji hivyo viti na mashine mbili utaniuzia..?
itakuwa sh ngapi kwa mashine zote 3 pamoja na hivyo viti na unapatikana wapi...?Inawezekana pia. Ila mashine ntauza zote tatu sio mbili
Nakuja chemba tujadiliitakuwa sh ngapi kwa mashine zote 3 pamoja na hivyo viti na unapatikana wapi...?
Pasua kichwa. Siwezi kuacha shughuli nkasimamia kinyoziMkuu usiuze ihamishie Kahama na usimame wewe mwenyewe kazini.
Ahaaa kumbe umepata kazi mpya mkuu!? Uza hamna noumaPasua kichwa. Siwezi kuacha shughuli nkasimamia kinyozi
mimi niliweza kumanage saloon kwakua sina muda wa kuwabana vinyozi mkuu,nimewapangia dau kila siku wananipa 15,000 na wananipa kila baada ya siku kumi,frem wanalipa wao,mashine nanunua kila baada ya mwaka mmoja,pale mariedo wanauza mashine nzuri kabisa,kitu chochote kikiharibika kabla ya mwaka haujaisha wanatakiwa watengenezea wao,lazma uweke mipango yako ieleweke kabla hujaanza kazi lasivyo itakushinda tu kwakua ni biashara inayohusisha vijana wasiojielewa.
sawaNakuja chemba tujadili
Uje ukague kwanza ukiridhika ndio tuongee biashara. Ni PM namba yako nkuelekeze vilipo hivyo vifaaChukua mbili tano....uko wapi nikufuate chapchap...mimi niko dar tabata.
Habari wadau,
Nauza vifaa vya salon, hii biashara imenishinda.
Kwa yeyote mwenye uhitaji aje chemba tujadili (PM).
Vyote jumla 3mil.
Vimetumika miezi mitatu tu
View attachment 333656
View attachment 333657
View attachment 333658
Hiko Kigenereta bei gani?[/QUOT
VITU VYA SALON
1 ALUMINIUM & VIOO 1,500,000
2 VITI 2 @ 200,000 400,000
3 BENCH 1 @ 250,000 200,000
5 MASHINE 3 300,000
6 STABILIZER 50,000
7 GENERATOR 200,000
8 VIFAA VYA SALON 250,000
9 CEILING FAN 80,000
10 RADIO 150,000