Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
Nelson, ni bahati mbaya watu wengi tunachanganya vitu. Kabla ya yote nikulize: mila na desturi za kibantu ni zipi na dini ya kibantu ni ipi?Malcom x alikua anatuchanganya sisi wabantu.Haiwezekani unatuambia tuachane na tamaduni za kizungu na tuache dini za kizungu na taratibu za maisha ya kizungu.
Afu wakati huo huo unatushauri tufuate dini na tamaduni na taratibu za maisha za Kiarabu. Hana tofauti na Martin Luther jr ambae alikua anapromote uzungu wa Kimarekani na imani za kiluther kwa wabantu, au Elijah Muhammad na itikadi zake za kiarabu kwa wabantu wa amerika ya kaskazini.
Wewe kama kiongozi wa kibantu basi ulipaswa uwashawishi wabantu warejee kwenye ubantu wao na tamaduni za kibantu na dini za kibantu na mila na desturi zao.
Sasa kiongozi wa kibantu afu una jina la kiarabu na imani ya kiarabu ,sisi tukuelewe vipi.
Kiongozi wa wabantu afu hauna motisha ya kuunadi ubantu wetu dhidi ya jamii nyingine duniani sisi tukueleweje?
Ndio maana kwa watu tunaojielewa tulikua tunaona na kujua Malcom x na Martin luther king walifeli kutuunganisha wabantu, na walikua wanapromote tamaduni nyingine katika ubantu wetu.
UNAPOTAKA KUTUUNGANISHA SISI WABANTU USITUMIE DINI ZA WAKOLONI KUTUUNGANISHA, HAPO LAZIMA UTATUGAWA NA NDIO KILICHOTOKEA KWA WABANTU WA AMERIKA KASKAZINI.
Malcom x alikosea au alipata mafunzo yasiyo sahii kuhusu ubantu na alikua anatupoteza kuhusu utambuzi wetu wa ubantu wa mababu zetu. Wabantu sisi tunaunganishwa na ubantu wetu na mila na desturi za babu zetu wa kibantu,toka kizazi mpaka kizazi kupitia koo zetu za makabila mbalimbali.
Na kutokana na kufeli huko, kulimsababishia kueleweka kwa wale wabantu wa pan Africanism ambao tuna imani zetu katika ubantu wetu.
NB: Wabantu tuna asili ya kujikataa na kukataa asilia zetu na kudharau rangi ya ngozi zetu na kutokana na kukandamizwa zaidi ya karne tano na jamii nyingine hapa duniani, tumejikuta tulikua wanyonge wa kiakili na kiimani na kitamaduni dhidi ya jamii za watu wenye rangi za ngozi tofauti na zetu.
mtu aliyemkataa baba ake na kujiita X angeweza kutuunganisha waafricaKabla ya kuuawa Malcom X alikuwa anafanya kazi kubwa sana ya kuunganisha 'Wabantu' Unachomshutumu alifanya kinyume chake kabisa. Alisafiri nchi huru nyingi za Afrika akihubiri jinsi watu weusi wa duniani kote wanatakiwa kuungana. Mwishoni mwa maisha yake hakuhubiri dini, alihubiri black nationalism. Hakuna mtu aliyewahi kuhamasisha umoja wa watu wesui duniani kote kama Malcom X. Mwishoni mwa maisha yake alisema kubwa moja ya sababu ya taasisi yake kuwa ya kidini ni kuwapa watu weusi msingi wa maadili, lakini watu weusi wa dini zote walikaribishwa.
hizo za kujitoa muhanga na za mashoga?Kabla ya kuuawa Malcom X alikuwa anafanya kazi kubwa sana ya kuunganisha 'Wabantu' Unachomshutumu alifanya kinyume chake kabisa. Alisafiri nchi huru nyingi za Afrika akihubiri jinsi watu weusi wa duniani kote wanatakiwa kuungana. Mwishoni mwa maisha yake hakuhubiri dini, alihubiri black nationalism. Hakuna mtu aliyewahi kuhamasisha umoja wa watu wesui duniani kote kama Malcom X. Mwishoni mwa maisha yake alisema kubwa moja ya sababu ya taasisi yake kuwa ya kidini ni kuwapa watu weusi msingi wa maadili, lakini watu weusi wa dini zote walikaribishwa.
Dini ni kwaa ajili ya kuwatawala wajingaMalcom X ni mtu ambaye—wakati mwingine—alikuwa na mitazamo finyu ambayo nadhani ilitokana elimu ndogo ya historia ya dunia. Ukiielewa sawa sawa historia, huwezi Ulaumu Uislam au Ukristo—as a doctrine—sababu dini zote mbili zimepinga sana ubaguzi na dhulma.
Mfano, wakati anaaminisha kuwa Ukristo ni chombo cha Ubaguzi ndani ya US, na kuhimiza wafuate Uislam; ni kwa sababu hakujua namna waarabu walivyoshiriki kwenye Ukoloni na biashara ya utumwa—ambayo kwa kweli haikuwa sababu ya Uislam. So, Malcolm X alikuwa na uelewa mdogo wa dunia.
Kwa nini aliweka X kwenye jina lake?mtu aliyemkataa baba ake na kujiita X angeweza kutuunganisha waafrica
Alimkataa baba ake kisa diniKwa nini aliweka X kwenye jina lake?
Ndio maana kwangu ilikuwa sawa kina abushiri na chief magungo walivyokula dili ya kuwakamata babu zako huko walikokuwa wanakula mbegu na mizizi kama mifugo, na kuwauzaMalcom x alikua anatuchanganya sisi wabantu.Haiwezekani unatuambia tuachane na tamaduni za kizungu na tuache dini za kizungu na taratibu za maisha ya kizungu.
Afu wakati huo huo unatushauri tufuate dini na tamaduni na taratibu za maisha za Kiarabu. Hana tofauti na Martin Luther jr ambae alikua anapromote uzungu wa Kimarekani na imani za kiluther kwa wabantu, au Elijah Muhammad na itikadi zake za kiarabu kwa wabantu wa amerika ya kaskazini.
Wewe kama kiongozi wa kibantu basi ulipaswa uwashawishi wabantu warejee kwenye ubantu wao na tamaduni za kibantu na dini za kibantu na mila na desturi zao.
Sasa kiongozi wa kibantu afu una jina la kiarabu na imani ya kiarabu ,sisi tukuelewe vipi.
Kiongozi wa wabantu afu hauna motisha ya kuunadi ubantu wetu dhidi ya jamii nyingine duniani sisi tukueleweje?
Ndio maana kwa watu tunaojielewa tulikua tunaona na kujua Malcom x na Martin luther king walifeli kutuunganisha wabantu, na walikua wanapromote tamaduni nyingine katika ubantu wetu.
UNAPOTAKA KUTUUNGANISHA SISI WABANTU USITUMIE DINI ZA WAKOLONI KUTUUNGANISHA, HAPO LAZIMA UTATUGAWA NA NDIO KILICHOTOKEA KWA WABANTU WA AMERIKA KASKAZINI.
Malcom x alikosea au alipata mafunzo yasiyo sahii kuhusu ubantu na alikua anatupoteza kuhusu utambuzi wetu wa ubantu wa mababu zetu. Wabantu sisi tunaunganishwa na ubantu wetu na mila na desturi za babu zetu wa kibantu,toka kizazi mpaka kizazi kupitia koo zetu za makabila mbalimbali.
Na kutokana na kufeli huko, kulimsababishia kueleweka kwa wale wabantu wa pan Africanism ambao tuna imani zetu katika ubantu wetu.
NB: Wabantu tuna asili ya kujikataa na kukataa asilia zetu na kudharau rangi ya ngozi zetu na kutokana na kukandamizwa zaidi ya karne tano na jamii nyingine hapa duniani, tumejikuta tulikua wanyonge wa kiakili na kiimani na kitamaduni dhidi ya jamii za watu wenye rangi za ngozi tofauti na zetu.
vodo si ya wabantuWabantu hatukuwa na Imani yoyote kubwa zaidi ya vodoo iliyojaa uchawi, kwa kiasi kikubwa dini za kigeni zilituunganidha. Malcolm X hakuona mbadala wa ukristo zaidi ya uislamu
Fallacies, non historical fact that you have mentioned.Alimkataa baba ake kisa dini
Wabantu hamkuwa tayariMalcom x alikua anatuchanganya sisi wabantu.Haiwezekani unatuambia tuachane na tamaduni za kizungu na tuache dini za kizungu na taratibu za maisha ya kizungu.
Afu wakati huo huo unatushauri tufuate dini na tamaduni na taratibu za maisha za Kiarabu. Hana tofauti na Martin Luther jr ambae alikua anapromote uzungu wa Kimarekani na imani za kiluther kwa wabantu, au Elijah Muhammad na itikadi zake za kiarabu kwa wabantu wa amerika ya kaskazini.
Wewe kama kiongozi wa kibantu basi ulipaswa uwashawishi wabantu warejee kwenye ubantu wao na tamaduni za kibantu na dini za kibantu na mila na desturi zao.
Sasa kiongozi wa kibantu afu una jina la kiarabu na imani ya kiarabu ,sisi tukuelewe vipi.
Kiongozi wa wabantu afu hauna motisha ya kuunadi ubantu wetu dhidi ya jamii nyingine duniani sisi tukueleweje?
Ndio maana kwa watu tunaojielewa tulikua tunaona na kujua Malcom x na Martin luther king walifeli kutuunganisha wabantu, na walikua wanapromote tamaduni nyingine katika ubantu wetu.
UNAPOTAKA KUTUUNGANISHA SISI WABANTU USITUMIE DINI ZA WAKOLONI KUTUUNGANISHA, HAPO LAZIMA UTATUGAWA NA NDIO KILICHOTOKEA KWA WABANTU WA AMERIKA KASKAZINI.
Malcom x alikosea au alipata mafunzo yasiyo sahii kuhusu ubantu na alikua anatupoteza kuhusu utambuzi wetu wa ubantu wa mababu zetu. Wabantu sisi tunaunganishwa na ubantu wetu na mila na desturi za babu zetu wa kibantu,toka kizazi mpaka kizazi kupitia koo zetu za makabila mbalimbali.
Na kutokana na kufeli huko, kulimsababishia kueleweka kwa wale wabantu wa pan Africanism ambao tuna imani zetu katika ubantu wetu.
NB: Wabantu tuna asili ya kujikataa na kukataa asilia zetu na kudharau rangi ya ngozi zetu na kutokana na kukandamizwa zaidi ya karne tano na jamii nyingine hapa duniani, tumejikuta tulikua wanyonge wa kiakili na kiimani na kitamaduni dhidi ya jamii za watu wenye rangi za ngozi tofauti na zetu.
Huna point broFallacies, non historical fact that you have mentioned.
The truth is,
Malcom x, alitumia jina x kwasababu akimaanisha x ni alama ya kitu kisichojulikana, Hakuwa anajua ni ipi familia ambayo baba yake alitokea huku africa, ambapo baba yake alipokuwa America alikuwa anatumia jina la bwana wake ( slave master) wake, kitu ambacho Malcom alikikataa kukiendeleza.
Hakutaka kutumia ubini wa slave master wa baba yake, kujipa jina Malcom x, linamaanisha Malcom mtoto wa mtu fulani. Sawasawa na mtoto aliyezaliwa hamjui baba yake.
Baba ake alikuwa anaitwa Little, full name Malcom Little.Huna point bro
Baba ake alikua anatumia ubini waa master wake siyo jina
Hivo bas baba ake malcom x alikua na jina
Kwanini asijiite jina la baba ake ??
Hakuna aliyemlazimisha kuchukua ubini wa master ila alishindwa kuchukua jina la baba ake!!
Kifupi Malcom alikua very confused and frustrated.
Mtu aliyemkataa hata baba ake anawezaje kuwaunganisha watu kama alishindwa kuunganisha tu familia yake