Malazi kwa walimu wapya

Malazi kwa walimu wapya

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
980
Reaction score
280
Wakuu serikali imetangaza ajira mpya kwa walimu katika mikoa mbalimbali!
Location sio tatizo,Nauli sio tatizo, ila je Mfanyakaz atafika kwenye kituo cha kazi na kukuta japo chumba cha kulala?!
 
nani akupe?
 
Watanzania wavivu kweli yaani unataka hadi chumba upewe kha kweli kazi hamtaki kalale juu ya mti
 
na utashangaaa walikuwa wanasubiria kwa hamu lakini wengine watakimbia tu baada ya kuripoti eti mazingira magumu, kapige kazi mambo mengine baadae
 
Kijana mshahara utaflow mda si mrefu.ondoa hofu pesa ya kupanga utapata ila kama umepangiwa chaka mbaya manake huko hata nyumba za kupanga choka mbaya.komaa!!this is africa,this is tanzania
 
Karibuni kwenye ajira mpambane na changamoto,sisi tulioko huko muda mrefu tumeshazoe
 
Wakuu serikali imetangaza ajira mpya kwa walimu katika mikoa mbalimbali!
Location sio tatizo,Nauli sio tatizo, ila je Mfanyakaz atafika kwenye kituo cha kazi na kukuta japo chumba cha kulala?!

ukiona hujapewa chumba acha hiyo kazi.
 
Wakuu serikali imetangaza ajira mpya kwa walimu katika mikoa mbalimbali!
Location sio tatizo,Nauli sio tatizo, ila je Mfanyakaz atafika kwenye kituo cha kazi na kukuta japo chumba cha kulala?!

baadae utauliza chakula!
 
Watanzania wavivu kweli yaani unataka hadi chumba upewe kha kweli kazi hamtaki kalale juu ya mti

mkuu andryndege314, unapopangiwa kituo na ofisi yako ni lazima au muhimu kujua malazi yakoje!,mbona hutumii akili kufikiri?
Kwenda kua mwalimu sio jeshini bro!,isitoshe mazingira yanatofautiana!
 
Back
Top Bottom