Serikali iliyopo madarakani imeshinda. Katika hali ya kushangaza, upinzani ulikuwa unaongoza katika uhesabuji kura hadi dakika za mwisho, mara ghafla umeme ukazima (sio jambo la kawaida umeme kukatika Malaysia), na ulipokuja kuwaka, ikagundulika kuwa kulikuwa na bundle ya masanduku ya kura 'yaliyokuwa yasahaulike', na hapo yalipofunguliwa, zaidi ya 99% ya kura zilizokuwemo zilikuwa za kuiunga mkono serikali.
Hapo hapo serikali ikashinda!!!