Hakuna hata mmoja hapo anaeweza Judi ama na mimi hata kwa second 30.
Mimi ndani ya dakika moja nachanganya mapigo matatu. TAI CHII,TAI KONDO NA BUJURUU.
Nikija na style zangu za Capoera paranaue hachomoki mtu hapo.....yani nikiruka muele then nikazunguka ahmada kisha nikapiga mealua de frente habaki mtu hapo