huyu mama kaamua kuchunguza haya kwa sababu huyo aliyemtangulia alikua ni rival(mpinzani) wake. ikumbukwe kua huyu mama alishahama mpaka na chama tawala akaanzisha chama chake...wangekua wako wote pamoja na wamekula wote asingechunguza kitu....na huyu rais marehemu alishamchagua ndugu yake ndio achukue madaraka baada ya yeye kufa japokua hilo halikuwezekana kutokana na katiba ya nchi yao inavyosema... Huyu Maza atulize boli anakuja kwa kasi sana