Id's zipi?Hizi Id's zinakusaidia nini Mama yetu? Zinakulipia hisa au jamii kwenye kikoba?
Duh,Hizi Id's zinakusaidia nini Mama yetu? Zinakulipia hisa au jamii kwenye kikoba?
Shukran mtaalam wa AINeno 'mnemba' limekataliwa, mchakato unafanyika ili kupata neno muafaka badala ya kusema AKILI BANDIA, waswahili waliondoa neno BANDIA wakaweka MNEMBA. Hata hivyo neno mnemba limeonekana halifai, linatafutwa neno jingine pahala pa AKILI 'BANDIA', yaani AI - ARTIFFICIAL INTELLIGENCE
Tatizo? Wewe umezaliwa na mwanamme?Duh,
Kumbe Malaria 2 ni Ke?
Mwenye busara ni yule anayejihesabu nafsi yake na akajitayarisha kwa ajili ya maisha ya baada ya mauti." (Tirmidhi)Malaria binafsi nimekufahamu kupitia mijadala ya waislamu na wakristo kuhusu uhalqli wa dini ipi ni sahihi , ila yote ya yote hakuna hata mmoja alie thibitisha uwepo wa mungu zaidi ya ngonjera za vitabu vyenu vya dini tu🤔🤔🤔🤔
😂😂😂Mwenye busara ni yule anayejihesabu nafsi yake na akajitayarisha kwa ajili ya maisha ya baada ya mauti." (Tirmidhi)
hahahahaHizi Id's zinakusaidia nini Mama yetu? Unagongea hisa au jamii kwenye kikoba?
Mnenda kwenye kabila fulani ni tusi kubwa sana hilo neno yaan halitakiwi kutamkwa hovyo hovyo ila nimeshangaa hawa wanalitamka tu Mnemba Mnemba kuna hilo kabila ukisema faraghani naomba Mnemba mtu wako anakuona wewe sio mtu mzuri unamuombaje Mnemba unataka aumwe bawasiri?Neno 'mnemba' limekataliwa, mchakato unafanyika ili kupata neno muafaka badala ya kusema AKILI BANDIA, waswahili waliondoa neno BANDIA wakaweka MNEMBA. Hata hivyo neno mnemba limeonekana halifai, linatafutwa neno jingine pahala pa AKILI 'BANDIA', yaani AI - ARTIFFICIAL INTELLIGENCE
Jami' at Tirmidhi😅Mwenye busara ni yule anayejihesabu nafsi yake na akajitayarisha kwa ajili ya maisha ya baada ya mauti." (Tirmidhi)
Hata neno mtandao kuna kabila ukisema hivyo ni kosa , jee tuliache kulitumia?Mnenda kwenye kabila fulani ni tusi kubwa sana hilo neno yaan halitakiwi kutamkwa hovyo hovyo ila nimeshangaa hawa wanalitamka tu Mnemba Mnemba kuna hilo kabila ukisema faraghani naomba Mnemba mtu wako anakuona wewe sio mtu mzuri unamuombaje Mnemba unataka aumwe bawasiri?
We ni Mnemba?Hata neno mtandao kuna kabila ukisema hivyo ni kosa , jee tuliache kulitumia?
Uthibitisho wa vpMalaria binafsi nimekufahamu kupitia mijadala ya waislamu na wakristo kuhusu uhalqli wa dini ipi ni sahihi , ila yote ya yote hakuna hata mmoja alie thibitisha uwepo wa mungu zaidi ya ngonjera za vitabu vyenu vya dini tu🤔🤔🤔🤔
Wapi nimesema tatizo?Tatizo? Wewe umezaliwa na mwanamme?
Wa uwepo wa hicho mnachoita MunguUthibitisho wa vp