zunya;
Assee...
M nakumbuka miaka ya 2000's..nmepita pale o-level, kuna walim nawakumbuka sana hasa
1) Nyagawa a.k.a van damme
2) Ulime a.k.a udig
Hawa jamaa walinitesa sana kwa bakora.
Niliishi 'chemba mavi'...nasikia ishafungwa, yaani ukikaa kule unaonekana ndio umepinda maana bangi, ugimbi, ulanzi na mitungo yooote inafanyikia kule..
Ila camp nalikubal saana lile had kesho
Ila siku hizi linaharibu saaaana...hata top ten halipo....daaaah
asee chemba gogo ni msala saaana,mekaa sana pale