Malalamiko ya matokeo ya chuo, tuweke kama NECTA

Malalamiko ya matokeo ya chuo, tuweke kama NECTA

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Labda sasa imefika wakati mitihani ya vyuo vikuuu isahihishwe na kitu kama NECTA, wasisahihishe walimu walewale kuondoka haya malalamiko ya Law School na vyuo vingine kula vichwa kama Engineering n.k
 
Mkuu necta ni kwa vyuo vya kati ngazi ya diploma na wanakagua hiyo mitihani mbona, vyuo vikuuu ni TCU
 
TCU ndio manapitia mitaala ya Vyuo vikuu.halafu hata wakisahisha hao bado matokeo yatakuwa yale yale.Nchi zote matokeo ya law school ni mabovu
 
Basi tu ni Kwa vile Sisi ambao hatuja kumbana na kadhia hizo tunajaribu kujadili Kwa mizaha lakini ukweli ni kwamba kama hakutapatikana njia sahihi ya kuwasaidia wanafunzi wote wa Kada zote ukoloni mambo Leo utaendelea kulitafuna taifa hili.
Nimekuwa nikishuhudia watoto mbalimbali wakilia kutokana na mfumo wa ukandamizaji katika SHULE na VYUO mbalimbali mfano katika SHULE za msingi machache yanavuja lakini mengi ni Siri kunaukatili na ubabaishaji wa kutosha,Secondari Kuna udikteta ambao ni zao la ukoloni Pia mpaka ufanye utafiti Veta pamoja na jitihada za Serikali kuongeza VYUO vya veta Kuna shida huko matokeo hayajawahi kutoka Kwa wakati na mitihani kupotea na hakuna anayejali VYUO vikuu lecturers ni Muingu watu watoto Wetu wa kike wanakazi hakuna haki ya kusikilizwa mwanachuo anaambiwa siwezi kukuwekea marks kwakuwa sipendi kufanya hivyo jiandae kufeli.Law school wanapolia ni MUHIMU Jambo Hilo likafanyiwa utafiti wa kina hivi inakuwaje waafrika tuaminishwe kwamba watu wote ni wajinga hawawezi kufauru hata kama Wana masters? Kwani HAO walimu nao wasiondolewe Kwa Kushindwa kufaulisha? Waige kwanye SHULE za Chini mwalimu anapimwa Kwa kufaulisha.
Kwa ujumla Sera zetu za Elimu zipitiwe upya ili kuendana na mahitaji ya nchi yetu na siyo kufuata matakwa ya wakoloni.
 
Back
Top Bottom