Hii idara baadhi ya wafanyakazi wake sio waaminifu.karibuni imetokezea malalamiko ambayo yapo mazizini police watu wameuziwa magari na mtu ambae sio owner wa magari hayo.jamaa alikuwa anakodi magari baadae anaenda zrb anatengenezew kadi ya umiliki ambayo inampa uwezo wa kuweza kuuza magari hayo.tunaloomba wahusika hao wachukuliwe hatua za kisheria haraka iwezekanavyo ili wasiendelee na michezo yao mi hafu ya kumichafua chombo ambacho kimeundwa kwa ajili ya kutubudumia wananchi kwa nia njema