Maulid Daniel
Senior Member
- Jul 4, 2012
- 140
- 72
Ndugu wana jamiiforums.
Mimi ni mteja wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO lakini cha kushangaza tokea nimefika hapa mjini Morogoro takribani mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia huduma mbovu za kimtandao ndani ya Mkoa huu.
Ikifika saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku network inakuwa zero haswa kwa watumiaji wa internet. Yani hata uwezo wa kufungua link za humu jamii forum ni shida, Facebook wanayoisema ni ya bure kwa kiswahili haifunguki, SMS za whatsapp haziingii wala hazitoki.
Tunaomba wahusika mlishughulikie hili tatizo maana nimejaribu kwenda ofisi zao pale mjini karibu na stend lakini hawajanisikiliza na kwa ninavyoona hawana nia ya kulishughulikia hili tatizo.