Malalamiko chuo cha Fedha Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malalamiko chuo cha Fedha Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by babito, May 3, 2011.

 1. b

  babito New Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hali si shwari kwa wafanyakazi wa chuo cha cedha – arusha
  tunaomba wizara itusaidie matatizo yaliyopo chuo cha cedha-arusha,
  kaimu mkuu wa chuo dr. Masatu hafai kabisa hapa chuoni ana upendeleo wa wazi kabisa:-
  mfano:
  1. ameshikilia madaraka yote!!! Hajui uongozi kila kitu ni yeye na wala hataki ushirikiano na wafanyakazi wa idara zingine. Ana mahusiano ya karibu na wahasibu wote wawili wa chuoni hapa. Na wahasibu hao wawili ni mume na mke jee iweje mume na mke wakamate nafisi moja kwenye kitengo nyeti kama hicho? Na mkuu wa chuo haoni tatizo hapo??? Wahasibu hao (mke na mume) ajira yao haina muda mrefu lakini wanatumia fedha za chuoni kama ni za kwao binafsi.
  2. huyu mkuu wa chuo amekuwa na tabia ya kuomba ngono kwa wafanyakazi na mmoja wao alikuwa kwenye mafaili ( aisha sware) na aliyekuwa receiption (rose mbise) kwa sasa hawapo tena .
  haya ni baadhi tu ya maovu yake. Tunaomba wizara itupe ushirikiano wa karibu kuona jinsi gani chuo kitandeshwa kwa amani
  tunakuomba ndugu blandina nyoni ufanye uchunguzi na hata kuunda tume ili ije ifanye uchunguzi hata kwa kura za siri kwa wafanyakazi na kubaini haya tusemayo kama ni kweli ama la.
  hatumtaki huyu mkuu wa chuo. Tafadhali wizara itusaidie.
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeandika nini hii kitu? Mods wanzishieni threadi huyu kukumgeni naona kadandia gari kwa mbele kaishia kuleta crap hapa!
   
Loading...