Yule binti aliyepigwa risasi kichwani na kundi la Taliban, na kukimbizwa Uingereza amehutubia Kikao cha UN na kutoa watu machozi. Ni binti jasiri aliyetaka kuuawa kwa kupigania elimu kwa watoto hasa wasichana.Itafute speech yake kwenye BBC au YouTube, it is very inspirational