Makundi ya CECAFA KAGAME CUP 2014

Makundi ya CECAFA KAGAME CUP 2014

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Group A
Kenya
Ethiopia
Zanzibar
South Sudan

Group B
Tanzania
Zambia
Burundi
Somalia

Group C
Uganda
Rwanda
Sudan
Eritrea

Michuano kuanza tarehe 27, mechi ya ufunguzi,
Kenya vs Ethiopia
Je Tanzania bara au Zanzibar wanaweza kuleta ubingwa nyumbani?
 
Mkuu asante kwa taarifa. Labda ningeanzisha thread nyingine. Hivi kwa nini isiitwe CECAFA CUP? Muda umefika neno Kagame litoke hapo. Au ndio masharti ya mtoa pesa? Tunajua anayemtuza mpiga kinanda ndio anachagua wimbo. Wimbo huu umekinai na hali halisi ya EAC haiendani na jina hilo. Vingenevyo mwaka huu liitwe CECAFA Kenyatta CUP 2013. Likija Tanzania mwakani liitwe CECAFA Kikwete CUP 2014 nk. Ni wazo tu wadau.
 
kagame mshenzi sana, alifikiri atakua rais wa EAC kwa kwa kufadhili michezo kwa gharama za maliasili na damu za wakongo! poor kagame
 
Mkuu asante kwa taarifa. Labda ningeanzisha thread nyingine. Hivi kwa nini isiitwe CECAFA CUP? Muda umefika neno Kagame litoke hapo. Au ndio masharti ya mtoa pesa? Tunajua anayemtuza mpiga kinanda ndio anachagua wimbo. Wimbo huu umekinai na hali halisi ya EAC haiendani na jina hilo. Vingenevyo mwaka huu liitwe CECAFA Kenyatta CUP 2013. Likija Tanzania mwakani liitwe CECAFA Kikwete CUP 2014 nk. Ni wazo tu wadau.
Sidhani kama haya mashindano anadhamini Kagame na sidhani kama yanaitwa Kagame cup, ninavyojua Kagame anadhamini mashindano ya Vilabu ya CECAFA.
 
Kweli Masukel upo sahihi kabisa. Nilichanganya mashindano ya vilabu na timu za taifa.
 
Tunashukuru kwa haya lakini Nchi hata raundi ya pili hakunaga.
 
Naomba tukutane na Rwanda kwenye hatua yoyote ile halafu tuwape tena kipigo kama tulichowapa KIVU YA KUSINI.
 
And what difference does it make if Masuke made a valid observation that i dully accepted ? There are more pertinent ideas/threads to contribute to.
Sorry if your contributions in the JF are for Masuke's eyes only.
 
Once Masuke made a valid observation and i promptly agreed. Common sense will mean such debate is cosed. Any way, common sense is not so common.
 
I agree with you, so silence is my last response regarding this issue.
 
Back
Top Bottom