Makundi mbalimbali yajipanga kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais 2025

Una Utafiti wa uyasemayo kuhusu kukubalika kwake?

Siasa ni sayansi ujue!!
 
Una Utafiti wa uyasemayo kuhusu kukubalika kwake?

Siasa ni sayansi ujue!!
Ndio ninao maana sasa Dunia ipo kiganjani kwako lakini pia nimezungumza na watu mbalimbali kupata maoni yao,ambapo watu wengi sana wanampenda na kumkubali sana Rais samia
 
Ndio ninao maana sasa Dunia ipo kiganjani kwako lakini pia nimezungumza na watu mbalimbali kupata maoni yao,ambapo watu wengi sana wanampenda na kumkubali sana Rais samia
Uumezungumza na watu wangapi katika Nchi hii?

Katika population ya watu zaidi ya 60 ml, Sample size Yako ni watu wangapi kati ya Watz zaidi ya 60ml?
 
Labda kapendwa na mumeo
 
PS wa UWT Chunya atasaidiwa na nani?
 
Lucas maoni ya watu wengi hapa JF kila ukitoa thread yalitosha kukuonesha hali halisi ya mwelekeo na mstakabali wa uchumi wa Nchi hii. Pia, kukuonesha Mwelekeo wa Uongozi wa Nchi.
 
Lucas maoni ya watu wengi hapa JF kila ukitoa thread yalitosha kukuonesha hali halisi ya mwelekeo na mstakabali wa uchumi wa Nchi hii. Pia, kukuonesha Mwelekeo wa Uongozi wa Nchi.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™
 
Wewe ni mjinga, makundi yenyewe majinga,.nchi Ina majinga katika Ile population ya 60 million. Huyu ni kiongozi wa kuchangia kama una akili timamu kweli? No governance in country now, tupo kwenye auto pilot mode. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…