MAKUNDI: Kombe la Mataifa ya Afrika

MAKUNDI: Kombe la Mataifa ya Afrika

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
2015_Africa_Cup_of_Nations_logo.png

​
Kundi A:
1. Equatorial Guinnea
2. Burkina Faso
3. Gabon
4. Congo

Kundi B:
1. Zambia
2. Tunisia
3. Cerpe Verde
4. DR Congo

Kundi C:
1. Ghana
2. Algeria
3. South Africa
4. Senegal

Kundi D:
1. Ivory Coast
2. Mali
3. Cameroon
4. Guinnea

Kipute kinaanza January 17

Kwa hisani ya Thomas Kahigi wa Facebook.
 
Kundi A ndilo kundi pekee lilio jepesi, hayo mengine yaliyobaki itakuwa mtiti...
 
Wafanye kila baada ya miaka minne (4)
 
Nasubiri nione siku Tanzania ipo kwenye moja ya hayo makundi na mimi niende mashindanoni kushangilia, lakini wapi.
 
Back
Top Bottom