Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,217
- 17,203
Miaka ya 90 kulikua na makundi ya wanamziki haswa wa kimarekani yaliyokuwa yakitamba. Kwa sasa hayasikiki tena. Nini kimeyasibu makundi haya.? Kwa mfano Boyz ll men, Soul 4 real, KCI & JOJO, Black street boyz, 112, dru hill na hat wakongwe Naughty by nature! kwa upande wa wanadada walikuwapo TLC, Salt n paper,(SWV)sister with voice, Changing faces, nk Makundi haya yalitamba sana wasani waliokuwa wakiunda makundi haya kwa sasa wako wapi? Wanafanya sanaa bd?