Makumira na arusha university on air second batch

Makumira na arusha university on air second batch

Hivi hii imekaaje..!?
Vyuo vinatoa majina alafu TCU wanasema SYSTEM bado imefungwa kwaajili ya kuwapangia waombaji vyuo..!
TANZANIA yangu bhana..!
 
Hivi hii imekaaje..!?
Vyuo vinatoa majina alafu TCU wanasema SYSTEM bado imefungwa kwaajili ya kuwapangia waombaji vyuo..!
TANZANIA yangu bhana..!
wanazingua sana rafki yangu kachaguliwa makumira second batch ila kwenye profile maneno ni yaleyale ya mwanzoni
 
Sasa mi jamani naona jina ila.ndo hawajaonyesha nimepangwa course gani
 
wakuu join intrustion tunapata chuo au online!? ya makumira!
 
Back
Top Bottom