CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,102
Ebwana eee maeneo haya ukikaa ile mida ya jioni jioni kuanzia saa 9 ile watu wanajirudisha makwao.
Utaona kila aina ya Mabinti, wenye matako makubwa, warefu, weupe, wembamba kwa kweli sijui kama tutaacha kuchepuka.
Majuzi niko pale makumbusho nikaona kifaa kimoja kikali sana kinaingia ATM ya CRDB, nikafata nyuma nikaweka foleni nyuma yake.. Kwa utu uzima wangu wala huwa situmii nguvu nyingi.. Naongea kwa busara na ucheshi kidogo wanajaa wenyewe..
Aisee, Hapa napoongea Nimeitumia weekend yangu vizuri jana pale shekina garden na mtoto, Mengine yaliyofata nayaweka kwenye mabano(Binti anaonekana ni Mjuvi lakini Nawalaumu vijana wa dar. Kila mara alikuwa anajishika kwenye mtandao wake sikutilia maanani nikasema ndo wale wale)