Makumbusho, Kijitonyama

Makumbusho, Kijitonyama

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,277
Reaction score
22,157
14993518_1221829214530269_5329239463230140513_n.jpg
 
Hiki ndio ninachosema mimi kila siku, wangeacha majengo ya city center yawe kama yalivyo, yangefanyiwa ukarabarati wa hali ya juu tu. Dar ingekuwa unique city, na haya majingo ya vioo yangejengwa huku Kijitonyama, Ilala, Kigamboni mbona nafasi zipo tu. Nasikitika Sana nikiona Dar inavyobadirika.
 
Back
Top Bottom