Makubwa yamenikuta

Makubwa yamenikuta

huyo ni shemale mkuu anakuonea huruma tu akivua hiyo pichu lazim akusindike uboho kunako tunduni mwako kimbia ucgeuke nyuma muachie chumba
Achana na miziki ya mashemale lazima upige sululu laaasivyo anakutafuna ww
 
Yani mwanadamu mwenzio unamuita mzoga!!!!!!

Kuwa na kauli nzuri kijana
 
Ni rahisi sana kupata msamaha kuliko kupata ruhusa. Ukinielewa utajua cha kufanya
 
Muulize kafata nini kama hataki kutoa vyombo..amekuja kuuza chai au
 
huyo ni shemale mkuu anakuonea huruma tu akivua hiyo pichu lazim akusindike uboho kunako tunduni mwako kimbia ucgeuke nyuma muachie chumba
Nadhani yashakutokea
Siku moja
Ndio maana unayafahamu sana
 
kuna mwenzio alituambia hapa alipomvua chupi ikatoka harufu ya mzoga wa paka nusura azirai, sasa ww lazimisha tu kumchojoa kama hatujakukuta emergency muhimbili
Ndio maana sikulazimisha ameshaondoka mkuu
Usiku mwema
 
Back
Top Bottom