1. WEWE NI MCHAMBUZI WA MAMBO MAHIRI.Siwezi kusema story ya kweli ama la, ila haya yanaweza kutokea kabisaa.
Facts
- Kwenye facebook si watu wote wanaweka picha zao.
- Watu wana line ambazo spouses wao hawazijui kabisaa (labda hata mkeo au mumeo anayo na haujui) kwa hiyo inawezekana kabisa. Watu wana mpaka simu nne ajabu ya nini?
Nijifunzacho ktk story hii - iwe ya kweli ama ya kutunga ( I dont really care)
Udanganyifu katika ndoa upo, men and women are out hunting!!!
Ushauri wa bure kwa wachangiaji wa thread hii
Kwanini mnamwandama Tall? Possibility ya kukutana mke na mume ipo kabisaaaa, kwani watu hawaopoi ktk facebook na internet kila kukicha? Mwacheni Tall aendelee kuwa mrefu.
sawa mkuu nimegundua kuna incomplete information ndio iliozua maswali mengi na kutoamini.sasa mtu ukianza kusoma thread yote toka mwanzo hadi hapa.unaelewa kila kitu kilichompata jamaa yangu...naona weekend ya leo kwake ni mbaya sana.ipange vizuri mkuu mrefu! Inaonekana ni kweli, ila maelezo yako hayatoshelezi..
This looks like a fabricated story. I doubt whether this can happen:
-yaani jamaa unataka kusema hakujua namba ya mkewe?
-kwenye hiyo facebook unayosema aliipitia, hakuona sura ya huyo mwanamke?
-kama aliongea naye kwa simu, ina maana hata sauti ya mkewe hakuitambua? acha utani bwana
Nashauri hii thread ihamishiwe kwenye jukwaa la "jokes". Let us avoid fabricating stories and ask people to comment. We need real life issues here. Heshima mbeleeee
nimesema hiviiiiiii mke alimshitukia mumewe baada ya mumewe kumtajia mkewe kuwa anafanya kazi kwenye taasisi za pesa,sasa mke baada ya kufikiria kuwa mumewe ni benka akaanza kujumlisha na kutoa.Alienda pale akihisi kuwa yule aweza kuwa mumewe,sasa ngoja akamuumbue amezidi umalaya.....una la zaidi mkuu?kama huna la zaidi ukae kimya milele.
karibu baba askofu,je na wewe ni wale akina tomaso?1.picha zao wote hazikuweza kuwepo kwenye face book.pwenti mkuu... Atunge story nyingine yenye ukweli kidogo
ha ha ha ha, ubarikiwe mkuu, pale kwenye facebook wote hawakuweka picha zao aliesema waliweka picha face book nani? haikuwa rahisi kujuana.
Jamaa yangu ndio kwanza ameoa, yeye na mkewe wote wanafanya kazi benki, sio ofisi moja.
Katika pitapita zake kwenye internet, kakutana na blog ya facebook, kasachiiiiiiiii, hadi kikaeleweka kampata binti mmoja aliyemvutia kimeseji na kusikia ni wale watokao moja ya makabila ya Arusha, akazidi kuchanganyikiwa, maana kabila hilo wasichana wake huwa wanamuacha hoi daima, hata mkewe anatoka kabila hilohilo.
Sijui ni shetani, sijui ni kutoridhika na mkewe, sijui ni tamaa, au labda sijui ni ukware tu... ila kilichofuata ni kuwa akawa na mapenzi mazito na huyo dada. Yeye jamaa yangu hakutaja jina lake halisi.
Jana jioni waliamua wakutane saa 12 jioni kwenye bar fulani maeneo ya kinondoni. Kwa vile kila mtu ana simu ya mwenzake hivyo walikubaliana, wakifika sehemu hiyo watapigiana. Huyu jamaa ananiambia kuwa walielezana pia kuwa kila mtu atavaaje, huyo dada alisema angevaa gauni la blue na jamaa akasema atavaa shati jeupe mikono mirefu... nilishasema huyu jamaa ni benka hivyo hapo ni kuvua tai tu na kuingia bar. (bankers wote wanavaa white shirts?)
Jamaa saa 12 kasorobo akatia timu bila kuchelewa, kabla hajafika eneo la tukio akapiga simu na akaelekezwa na bibie eneo alipokaa kwani yeye bibie keshafika saa nyingi anamngoja. Jamaa akaingia bar kwa mikogo yote huku akipepesa macho na udenda ukimtoka, kwa vyovyote ville mkono wa kulia ukiwa mfukoni mwa suruali.
Kulia alimwona mrembo mmoja amekaa kavalia gauni la bluu, looooh alipoangalia vizuri kumbe ni MKEWE WA NDOA NDIE WANATAZAMANA NAE USO KWA USO.
Anasikitika sana kwa yaliyomkuta, anasema sasa ndoa yake inalegalega, ANAMPENDA SANA MKEWE. ANAJUTIA FACEBOOK.
UNASEMAJE MWANA JF? AFANYEJE KUWEKA MAMBO SAWA?
sawa mkuu nimegundua kuna incomplete information ndio iliozua maswali mengi na kutoamini.sasa mtu ukianza kusoma thread yote toka mwanzo hadi hapa.unaelewa kila kitu kilichompata jamaa yangu...naona weekend ya leo kwake ni mbaya sana.
karibu baba askofu,je na wewe ni wale akina tomaso?1.picha zao wote hazikuweza kuwepo kwenye face book.
2.simu walitumia namba ambazo mwenzake haijui.
3. Kwa vile mke alishaanza kumsitukia mmewe,mke akatumia simu ya shoga yake na kuna uwezekano alibana sauti
au labda alimpa shoga yake aongee kwa niaba yake........hili nalo linamsumbua kichwa jamaa yangu.
Jamaa anasema mkewe alimuamini mia kwa mia sasa anahisi ni sifuri kwa mia......hana raha.
Una la zaidi baba askofu????..........ubarikiwe.
Jamaa yangu ndio kwanza ameoa, yeye na mkewe wote wanafanya kazi benki, sio ofisi moja.
Katika pitapita zake kwenye internet, kakutana na blog ya facebook, kasachiiiiiiiii, hadi kikaeleweka kampata binti mmoja aliyemvutia kimeseji na kusikia ni wale watokao moja ya makabila ya Arusha, akazidi kuchanganyikiwa, maana kabila hilo wasichana wake huwa wanamuacha hoi daima, hata mkewe anatoka kabila hilohilo.
Sijui ni shetani, sijui ni kutoridhika na mkewe, sijui ni tamaa, au labda sijui ni ukware tu... ila kilichofuata ni kuwa akawa na mapenzi mazito na huyo dada. Yeye jamaa yangu hakutaja jina lake halisi.
Jana jioni waliamua wakutane saa 12 jioni kwenye bar fulani maeneo ya kinondoni. Kwa vile kila mtu ana simu ya mwenzake hivyo walikubaliana, wakifika sehemu hiyo watapigiana. Huyu jamaa ananiambia kuwa walielezana pia kuwa kila mtu atavaaje, huyo dada alisema angevaa gauni la blue na jamaa akasema atavaa shati jeupe mikono mirefu... nilishasema huyu jamaa ni benka hivyo hapo ni kuvua tai tu na kuingia bar.
Jamaa saa 12 kasorobo akatia timu bila kuchelewa, kabla hajafika eneo la tukio akapiga simu na akaelekezwa na bibie eneo alipokaa kwani yeye bibie keshafika saa nyingi anamngoja. Jamaa akaingia bar kwa mikogo yote huku akipepesa macho na udenda ukimtoka, kwa vyovyote ville mkono wa kulia ukiwa mfukoni mwa suruali.
Kulia alimwona mrembo mmoja amekaa kavalia gauni la bluu, looooh alipoangalia vizuri kumbe ni MKEWE WA NDOA NDIE WANATAZAMANA NAE USO KWA USO.
Anasikitika sana kwa yaliyomkuta, anasema sasa ndoa yake inalegalega, ANAMPENDA SANA MKEWE. ANAJUTIA FACEBOOK.
UNASEMAJE MWANA JF? AFANYEJE KUWEKA MAMBO SAWA?
Mpwa hebu tafsiri kwa kiswahili hapo......Sounds like a box full of frogs!
Mpwa hebu tafsiri kwa kiswahili hapo......
Yaani unawasiliana kwa simu na mkeo usiijue sauti yake? Hilo tu kwa kuanzia kwanza. Mi hata ma-Elizaz nayodumisha nayo mila huwa sisahau sauti zao kwa foni!!!! Hii naona ingehamishiwa kwenye lile jukwaa la majokes na ma gossips!Tall aka......The universe is laughing behind your back!
Yaani unawasiliana kwa simu na mkeo usiijue sauti yake? Hilo tu kwa kuanzia kwanza. Mi hata ma-Elizaz nayodumisha nayo mila huwa sisahau sauti zao kwa foni!!!! Hii naona ingehamishiwa kwenye lile jukwaa la majokes na ma gossips!
Hadithi hii kama za kina ShY na Pdidy, Mama Mia, Sweetbaby, Mwana wa Mungu na Mwanahalisi.....JF kuna mavuvuzela mengi!
The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:
Masanilo (Today)
Nasikitika umemsahau rafiki yako mheshimiwa Malaria Sugu au bado yuko kwenye ile list yako?
Hahahahaha! Tall chunga sana, uko kwenye probation period!!!!!!Ile list wako wapiganaji 25 hao akina MS wala huwa sioni mitundiko yao! Tall akiweka nyingine kama hii nitaedit na kuwa nao 26
1.sauti inawezekana aliibana au shoga yake alimsaidia.2.ngou za bluu kila mtu anavaa ukisikia ya bluu tu basi ni mkeo????je sauti kwenye simu? Hata nguo aliyosema atavaa hakugundua hapo?
Kweli tall una degree ya uongo nilifikiri kwa vile umetoka na id hii ungeacha uongo na kuja na mi thread ya kitoto toto kumbe bado tu.
Wk end yako ndio mbaya hata zaidi. Kama ulikuwa una lengo la kuelemisha ungeiweka kivingine
ndio maana jamaa kawa mnyonge,maana bibie alimweleza kuwa nimechukua simu ya shoga yangu ili unaemjua ili ujue nilikugundua,upo hapo kiongozi wa dini?Ndio mpendwa...
Turudi kwa mwanamke... anaweza ku-justify vipi kwamba alikuwa anamtega mumewe??
Je, ingetokea kwamba mume naye amemtuma rafiki yake akakague mzigo kwanza ingekuwaje??