Makubwa juu Ya Yesu

Secret Star, do you really know the Trinity?? I was a real Catholic but I didn't understand at all about it, also resurrection for me not a historical event. I gave up
 

Upo sawa mkuu, kuongezea Yohana :14:5-10
5 Tomaso akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda; tutaijuaje njia?”
6 Yesu akawaam bia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.
7 Kama mngekuwa mnajua mimi ni nani, mngemfahamu na Baba yangu. Tangu sasa mnamfahamu Baba yangu na mmemwona.”

8 Filipo akamwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba yako nasi tutaridhika.”
9 Yesu akamjibu, “Filipo, imekuwaje hunifahamu baada ya mimi kuwa pamoja nanyi muda wote huu? Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. Sasa inakuwaje unasema, ‘Tuonyeshe Baba’?
10 Je, huamini ya kuwa mimi niko ndani ya Baba yangu, na Baba yangu yuko ndani yangu? Mambo ninayowaambia siyasemi kwa mamlaka yangu mwenyewe, bali yanatoka kwa Baba yangu ambaye anaishi ndani yangu, na ndiye anayetenda haya yote.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Achana na Imani za watu kama haikuhusu achana nayo,
Kupenda kudiscuss dini ya kikristo inakusaidia nini usiyoyajua achana nayo ipo siku utamwita Mungu
YESU NI MUNGU HAKIKA
 
Mkuu wewe ni kilaza tena sana.. yaani ni mpumbavu wa kiwango cha rami, yaani yesu aumbe kitu au mtu?? Huna akili kabisa hayawani wewe...
 
Mkuu wewe ni kilaza tena sana.. yaani ni mpumbavu wa kiwango cha rami, yaani yesu aumbe kitu au mtu?? Huna akili kabisa hayawani wewe...
Mkuu ungemuuliza hivi "Inawezekana vp kwa ambae ameumbwa ashirikiane na muumbaji? Na je yeye mwenyewe alishirikiana na muumbaji katika kuumbwa kwake?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…