Makubwa haya

Mtoe nyoka taratibu afu kata ndizi yako usepe. Ukianza kumponda utahalibu ndizi.
 
wamepunzika kwa raha zao
 
Hapo unakata kichwa tu then sehemy inayobaki unamchemsha kwa mda wa masaa 2! supu yake, hutasahau milele!
 
yaani hao hawakuona sehemu nyingine yoyooooote ya kufanyia mambo yao isipokuwa kwenye ndizi zako?????
 
hao ukishawaua ndo inakuwa nyama safi ya kuchanganya kwenye matoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…