Makubwa haya! Tobaaaaaaaaaaaaaaaaa

Makubwa haya! Tobaaaaaaaaaaaaaaaaa

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
530702_10151137746873581_123635998_n.jpg


Hiki Chama Kuna Watu wanakipenda aiseee, Sasa hawa wanapiga sababu tu ya UVCCM je Mwenyekiti Taifa itakuaje si Balaaa
 
Kumbe ccm ukiwa na jezi ya yanga haikupi gharama
 
Kwa matazamo wangu hayo sio mapenzi kwa chama hapo hela za kifasadi, fitina na unafiki ndio unasababisha hayo, hiki chama sio kile kilicholea wazazi wetu wakaimba nyimbo za kukitukuza, CCM ya leo inaongozwa na ubinafsi na dhuluma.
Watu wazima hawana hata haya.
 
Hapo sio chama, ni wengine kukosa mgao wa Mlungula na wengne kupata nyingi zaidi.!
 
Walikosea kupigana kavu kavu bila visu na bunduki kama Aden Rage. Heri wangefanyiana kweli hadi mtu kuyaona maiti hapo ndipo tungejua wanakipenda hadi kukifia chama. Usanii mwingine jamani!
 
Ndo ubaya wa kudhulumiana hela za rushwa, kwa kuwa hawawezi kwenda kushtaki basi wanaamua kumalizana kwa vichapo
 
Hiyo ni vita ya panzi ambayo humfaidisha kunguru.... Teh teh!
 
ccm ina wenyewe acha watiane aibu wajinga sana hawa
kwenye habari za ITV jana jamaa alielezea vizuri kuwa vipeperushi vimeandaliwa na (sijui) shigera, Fredy Lowassa,....
Nimejaribu kuitafuta hii clip lakini sijaipata na wala website ya nipashe hawajaupdate bado.
Hii unaweza kuita 'the end of the end' ya hiki chama

 
Mi nkafikiri timu yetu kumbe chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Haya mambo yalikwisha nadhani.hawa watu wameshasameheana. Ndiyo haya matatizo. Washabiki wa Yanga na Simba wanapigana. Mume na mke wanabishana kwa ajili ya CCM,CUF,Chadema. Frelimo inapigana na Renamo wakati wote wanauziwa silaha na watu wale wale. Kama kuna ugomvi nyumbani,magomvi ya watu wengine yanapata foothold katika hiyo nyumba.
 
Hapo sio chama, ni wengine kukosa mgao wa Mlungula na wengne kupata nyingi zaidi.!
acha masihara mkuu, kwani bila hiyo red bold unadhani kuna kingine, ndicho chama chenyewe na hiyo ikiisha nacho kimeisha

 
Back
Top Bottom