Wakati nikiwa mwanafunzi nilifaidi sana hizi huduma.
Ila ni aibu kwa nchi kubwa kama Tanzania kuwa na public libraries 26 tu!
Sijui viongozi wanafanya nini--tunajenga taifa la watu wasiopenda kusoma,wala kujishughulisha na kupata ujuzi mpya.
Vitu kama maktaba,zingekuwepo kila wilaya, kila kata ,then kila kijiji.
ikiwezekana.