ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
Touchwiz is less intrusive and heavy..it also adds usable features like multi window,smartstay and other gimmicky stuff nobody uses!! Save for the Gingerbread look amd those autrocious toggle buttons!!!
TouchWiz toleo la Nature UX humruhusu mtumiaji kusimamisha video kwa kufunika kiganja kwenye skrini ya simu (SIII), kwenye S4 utendaji huu umebadilishwa na badala yake video hujisimamisha (pause) mtumiaji anapoacha kuangalia skrini, teknolojia iliyotumika kufanikisha uwezo huu inatokana na mawasiliano baina ya kamera na sensa za simu kuweza kutambua retina za macho hivyo zinapokuwa hazionekani kwenye kamera, sensa huitambulisha simu kusimamisha video, hii hali hufanyika kwa haraka mno kiasi kwamba video haizidi hata sekunde moja kucheza wakati huangalii.l
[/FONT][/COLOR][/LEFT]
[/FONT][/COLOR]Afya ya macho vipi mkuu, kama daily simu unaangalia kwa siku zote hizo utakazoishi na simu iyo.
Mionzi iyo usalama wake na macho vipi?
:focus:Afya zetu na vifaa tunavyotumia ni endless debate, huku wafanya biashara wakificha ukweli na wanasayansi na madaktari baadhi yao nao pia ni waoga kusema ukweli. Kwa maisha ya leo ukitaka kuepukana na athari za vifaa tunavyotumia sijui ukaishi wapi? Carbon emission kwenye magari, skrini za simu, kompyuta na TV, mionzi ya simu na vifaa vingine vya mawasiliano, mionzo ya microwave oven. ili mradi orodha ni ndefu mno.