phil_kabuje
Member
- Mar 27, 2014
- 67
- 73
Wadau wa Jf kuna hii topic nzuri sana kwa waandika CV nikaona nishare link yake!
wenye hiyo blog wao hawakubali kukopi na kupaste ndo maana nimeweka link!
Wadau wa Jf kuna hii topic nzuri sana kwa waandika CV nikaona nishare link yake!
wenye hiyo blog wao hawakubali kukopi na kupaste ndo maana nimeweka.
==========================================================
1.Epuka Kukosea herufi za maneno (spelling) kwenye CV yako, hili ni kosa kubwa na itaonyesha ni jinsi gani huna umakini wakati wa kufanya mambo ya muhimu.
2.Usiongeze vitu usivyoweza kuvifanya kwani vitakuumbua siku ya kufanya usaili na kuonekana hujui mengine yote!
3. Epuka kuonekana umefanya kazi nyingi kwa kipindi kifupi kifupi. Mathalani umemaliza chuo mwaka 2012, umeshafanya kazi na makampuni manne tofauti mpaka kufikia mwaka 2014
4. Wasifu wako hautakiwi kuwa na vifupisho bila kuchanganua mfano, nimefanya kazi TRA, AMD, na NIC. Sio wote wanayajua makampuni hayo.
5. Usisahau kuweka mawasiliano yako hasa namba ya simu na anuani yako ya barua pepe
6. Kuweka namba za wadhamini ambazo hazipatikani, pengine walishabadili namba hizo ila kutokana na kwamba huna mawasiliano nao, hujui chochote!
7.Mpangilio mbovu wa wasifu wako, na kushindwa kuelezea kiundani uwezo wako.
8. Epuka kuandika wasifu usioendana na matakwa ya kule unakoupeleka unapoomba kazi. Daima fanya marekebisho kila unapoomba kazi sehemu nyingine.
9. Epuka kuiga wasifu wa mtu mwingine au kukopi kutoka kwenye mitandao matokeo yake mwajiri anakutana na CV kadhaa zinazofanana!
10. Daima panga karatasi zako vizuri kufuata mtiririko kuepuka kumchnganya msomaji na matokeo yake ni kuitupa kapuni na kuendelea na wengine.
Chanzo;kumimuhimu blog

Epuka kudanganya umri wako piaWadau wa Jf kuna hii topic nzuri sana kwa waandika CV nikaona nishare link yake!

Jaman kukoxa kaz c kukoxea cv.! hata hao wanaopata kaz kaangalien cv zao zakawaida tu tena zaid yawew ulokoxa kaz,na hata wengne wanaomba kwako waone mfumo wakuandka,hapo kaka kuna namna,naamin graduates weng c wote weng wanajua kupanglia cv.ila hao wanaotoa matangazo yakaz watu wakaomba wakijua hawatawachagua wana watu wao mwenyez MUNGU anafaham adhabu yao,wacha tutaabike na maisha.
Wadau wa Jf kuna hii
topic nzuri sana kwa waandika CV nikaona nishare link yake!
wenye hiyo blog wao hawakubali kukopi na kupaste ndo maana nimeweka.
==========================================================
1.Epuka Kukosea herufi za maneno (spelling) kwenye CV yako, hili
ni kosa kubwa na itaonyesha ni jinsi gani huna umakini wakati wa
kufanya mambo ya muhimu.
2.Usiongeze vitu usivyoweza kuvifanya kwani vitakuumbua siku ya kufanya
usaili na kuonekana hujui mengine yote!
3. Epuka kuonekana umefanya kazi nyingi kwa kipindi kifupi kifupi.
Mathalani umemaliza chuo mwaka 2012, umeshafanya kazi na makampuni manne
tofauti mpaka kufikia mwaka 2014
4. Wasifu wako hautakiwi kuwa na vifupisho bila kuchanganua mfano,
nimefanya kazi TRA, AMD, na NIC. Sio wote wanayajua makampuni hayo.
5. Usisahau kuweka mawasiliano yako hasa namba ya simu na anuani yako ya
barua pepe
6. Kuweka namba za wadhamini ambazo hazipatikani, pengine walishabadili
namba hizo ila kutokana na kwamba huna mawasiliano nao, hujui chochote!
7.Mpangilio mbovu wa wasifu wako, na kushindwa kuelezea kiundani uwezo
wako.
8. Epuka kuandika wasifu usioendana na matakwa ya kule unakoupeleka
unapoomba kazi. Daima fanya marekebisho kila unapoomba kazi sehemu
nyingine.
9. Epuka kuiga wasifu wa mtu mwingine au kukopi kutoka kwenye mitandao
matokeo yake mwajiri anakutana na CV kadhaa zinazofanana!
10. Daima panga karatasi zako vizuri kufuata mtiririko kuepuka
kumchnganya msomaji na matokeo yake ni kuitupa kapuni na kuendelea na
wengine.
Chanzo;kumimuhimu blog
Tatizo wanaopitia cv zetu wao wenyewe walipata kazi bila hata ya cv maana kipindi chao walikuwa wakitoka vyuoni direct wanaingia kazini...sasa huyu mtu anaijuaje cv ya mtu if nzuri au la??......