Naomba kujuzwa wadau na wajuz wa sheria no IPI sheria na hukumu ya MTU anaekutumia mesej za matusi via messenger message na kuptia watu ...nikitaka kumfungulia mashtaka ..ushahidi wa message nnao na kila kitu ...n opi hikumu ya na sheria inavpsema juu ya makpsa hauo
Sent using
Jamii Forums mobile app