teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Naomba kujua, kama nikikamatwa na traffic na nikawa sina namna ya kulipa faini kwa kosa la kutofunga mkanda, na ikaonekana nipelekwe mahakamani je kule kuna kipengele chochote kinachoweza kunisaidia?